Karibu kwenye Sauti ya Cabo. Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni 21,2022. 🔸Mashambulizi Mapya yamesajiliwa katika Wilaya ya Ancuabe. 🔸Chuo cha wanawake chinatowa wito wa kukomechwa kwa unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana huko Cabo Delgado. 🔸Magaidi Saba wameuawa kwa kupigwa risasi…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi Kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 16,2022. 🔸Takribani watu 12.000 walihusika katika wimbi jipya la watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado. 🔸Ujumbe wa SADC utangaza kufuta magaidi huko Macomia 🔸Magari na nyumba ziliunguwa karibu kabisa na…
Karibu kwenye Sauti ya Caobo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamiss Jumanne hii Juni 14,2022. 🔸CDD inakosowa kushindwa kufuata mpango wa ujenzi wa Cabo Cegado. 🔸Zaidi ya watu 100 waliokimbia makazi yao walirejea katika makazi yao huko Mocimbao da Praia. 🔸Na kwa kusindikiza tu…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 09,2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Msimamizi wa Ancuabe anawahimiza watu waliohamishwa kurudi kwenye makazi yao . 🔸Mashambulizi ya ivi Majuzi ya Ancuabe na harakati za kigaidi za Quisanga zinaweza kutishia kurejeya kwa watu…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni,07,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Waasi wanaendelea mashambulizi katika wilaya ya Ancuabe na kuua watu 7. 🔸Polisi huko Cabo Delgado wanawashikilia watu kwa kuonekana kuwa waisilamu,ripoti ya Mercani inakashifu. 🔸Serikali itangoa hekta 25.000…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambaopo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamisi hii Juni 02,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu watatu wameuawa na kumi kujeruhiwa katika mashambulizi zaidi ya kigaidi huko Cabo Delgado. 🔸Watu waliokimbia makazi yao wakifanya mazoezi ya chuma chakavu katika mji wa Pemba…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Mei 31,22.tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Msumbiji lazima iweke kamari kwenye vikosi malumum na rasilimali za kisasa ili kupambana na magaidi anaonya ntalamu wa FADM. 🔸Raisi nyusi anasema watu waliofurushwa makwao hawakuhurusiwa kurejea. 🔸Wakimbizi…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 26,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Bado akuna usalama katika maeneo yaliokombolewa huko Cabo Delgado mtafiti anabainisha. 🔸Unyanyasaji wa Kijeshi dhdi ya raia umetawala Kisiwani Pemba . 🔸Wakaguzi wa polisi wanachunguza madai dhidi…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei 24,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Serikali inawapa watu wengine ardhi ya watu waliohamishwa makzi huko Cabo Delgado Bila kushauriananao. 🔸Watu sita walikufa katika mashambulizi mapya hukp Macomia na Palma. 🔸Watumishi wengi wa…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado halamisi hii mei 20,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Magaidi wajisalimisha uko Nangade kutokana na njaa. 🔸Ukaguzi wa polisi utachunguza ukiukaji wa aki huko Macomia. 🔸Alitekwa washukiwa wa ugaidi katika kisilua cha Quirimba. Endelea kuapata habari…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 12,2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Wazir wa ulinzi anataka mfumo wa Jeshi la mitaa lakini wachambuzi wanagombea. 🔸Sehemu maalum ya masuala ya ugaidi iliyoundwa huko Cabo Delgado. 🔸Njaa inaweza kuathiri watu 6.000…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei 10,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Wanajeshi elufu saba wa phantom waligunduliwa katika FADM. 🔸Mwendesha mashitaka wa Cabo Delgado atuma kesi ya mdokezi anayedaiwa kuwa gaidi kwa makamani. 🔸Filipe Nyusi anaainisha ugaidi kama…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamisi hii mei 5,2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Magaidi tena wasababisha vifo huko Nangade. 🔸PMA inapunguza mpango wa watu waliohamishwa makazi yao. 🔸Mawakala wa PRM wapiga risasi wachimba migodi huko Montepuez. Endelea kupata habari kutoka Cabo…
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei,03,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Askofu wa Pemba aomba kutohasahau waliohama huko Cabo Delgado. 🔸Uhamiaji uko Cabo Delgado unalalamika ukosefu njia za kisiasa. 🔸Uganda inapatikana kusaidia kupigana ugaidi uko Cabo Delgado. Endeleya kupata…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 28,2022. 🔸Tafiti zinaelekeza kwenye mazungumuzo za washambuliaji ili kukomesha ugaidi. 🔸Wausi 14 wauawa wilayani Nangade. 🔸CAF inatowa Dola za Merekani 500.000 kuwasaidia watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado. Endelea kupata habari…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza záidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumanne hi Abril 26,2022 🔸ExxonMobil itaingia tu kwenye uchunguzi wa gesi baada yaTotal kurejea ardhini. 🔸Wafanyikazi wanalalamika kwa ukosefu wa huduma huko Mocimboa da Praia. 🔸Vijana wanataka kukomeshwa kwa mashambulizi ya kigaidi ya macomia. Endelea…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April,21,2022. 🔸Wanajeshi wa Rwanda wanahonekana kufanya kazi eneo la macomia,eneo la misheni ya SADC. 🔸Hali ya usalama inazidi kuimarika,anateteya Wazir wa ulinzi wa taifa. 🔸CDD inataka mazungumuzo na wachambuzi Uruma wa ruby huko…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi Abril,19,2022. 🔸Watu waliokimbia makazi yao wanaomba usaidizi wa biashara katika kituo cha makazi mapya huko Cabo Delgado. 🔸Magaidi warudi kuteka nyara na kuua huko Nangade. 🔸Fátima mimbire arifa kwa zaidi hatua za usalama…
19 Apr 2022 9AM
4 min
260 – 280
Agree to storing cookies on your device.
Cookie preferences
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.