Sauti Ya Cabo Delgado 12.05.2022
Loading player...
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii mei 12,2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Wazir wa ulinzi anataka mfumo wa Jeshi la mitaa lakini wachambuzi wanagombea.
🔸Sehemu maalum ya masuala ya ugaidi iliyoundwa huko Cabo Delgado.
🔸Njaa inaweza kuathiri watu 6.000 Namanhumbiri huko Montepuez.
Endelea kupata habari kutoka Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podecast.
Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno,Emakwa,Shimakonde,kimuani au kishahili.
Plural media habari kwa lugha yako.