Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.
🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising
🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha
🔸 Serikali ya Cabo Delgado inakusudia kuondoa kituo chá Rádio chá jamii chá Mocimboa da Praia kutoka FORCOM.
Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo, kireno, kimakuwa, kimakonde na kimwani.
Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org pata habari za nkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegrama na programa yoyote ya podcast.