Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025
Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.
Vichwa vya habari:
🔸 Watu wameuawa katika shambulio lá waasi kwenye Bárabara 380 Huko Cabo Delgado
🔸 Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgado
🔸 Família huacha vituo vya mpito Huko Chiure kwa sababu ya Njaa.
Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno,kimakuwa,kimakonde,na kimwani.
Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org pata habari za nkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telegrama na programa yoyote ya podcast.