Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 14,2022. 🔸Hali ya usalama inazidi kuwa mbaya wilayani Nangade. 🔸Idade ya vifo vilivyosababiswa na magaidi huko Cabo Delgado imepunguzwa kwa nusu. 🔸Jeshi lá serekali ya kisasanga watumishi wa umma kurudi kazini. Endelea…
Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi,April 12,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Graça Machal anatetea mipango jumuishi huko Cabo Delgado. 🔸Kijana huko Cabo Delgado akiwa na mtoto mdogo wa miezi 6 ambaye alibakwa na magaidi. 🔸Rais wa MDM anasema kuwa…
Karibu kwenye sauti yá Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Ijuma hi Abril 08 2022. 🔸Waasi wa Cabo Delgado waua wanajeshi watatu katika wilaya ya Nangade. 🔸MISA inahohi kutojali kwa mamlaka kuhusu kutoweka kwa mwanahabari Ibraimo Mbaruco. 🔸Madaktari wa Cuba huenda wakarejea Cabo Delgado…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi Abril,5,2022. 🔸Majeshi wananaotuhumiwa kuwaua wavuvi katika wilaya ya Palma. 🔸SADC lazima iimarisha misheni Yake uko Cabo Delgado wachambuzi wanasema. 🔸Kurudishwa kwa wafanyakazi kwa wilaya kuathiriwa na ugaidi sio lazima,anasema waziri wa utawala…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado halamisi hi macho 31,03,2022. 🔸Katibu mkuu wa Mocimboa da praia anaomba kurejeshwa kwa haraka kwa watumishi wa umma. 🔸Wanawake na watoto mateka zaidi wanawasili katika wilaya ya Macomia. 🔸Ujumbe wa SAMIM unasema kuwa uliua…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumane hi Machi 29,2022. 🔸Majeshi wanaendelea kutafuta kisiwa cha matemo baada ya chambulio hilo. 🔸Milioni ya risasi inawalazimu wanakijiji wa Macomia kulala msutuni. 🔸OIM yasajili ongezeko la asilimia la idadi waliokimbia makazi yao. Endelea kupata…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,25,2022. 🔸Magaidi huwachilia mateka katika uso wa mifuko ya njaa kwenye ngome zao. 🔸Nangade anazidi kuachwa kutokana na ukosefo wa usalama. 🔸PMA inahitaji Dola milioni 17 kwa muezi kwa ajili ya mgogoro wa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi machi,22,2022. 🔸Ukiukaji wa haki za binadamu umeenea uko Cabo Delgado. 🔸Police yatangaza kuuawa kwa magaidi kumi kwenye kisiwa cha matemo. 🔸Mamlaka zinaripoti kupunguzwa kwa msaada wa chakula kwa watu waliokimbia makazi yao huko…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,18,2022 tunayo mambo muhimo yafuatoyo. 🔸Magaidi washambulia kisiwa cha matemo wilayani ibo 🔸BAD imeidhinisha Dola za Merkani milioni 1.4 kusaidia wakimbizi na watu waliokimbia makazi yao . 🔸Bandari ya Mocimboa da Praia ilyotembelewa…
Karibu kwenye saiti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delegado Jumane hi machi,15,2022 tunayo mambo muhimo yafuatayo. 🔸Watu waliokimbia vita makazi yao wanadai kurejea katika kijiji cha Mocimboa da Praia 🔸ripot ya OMR imepata kupungua kwa uwezo wa kuajiri makundi yenye silaha. 🔸Uzarishaji w Gesi…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado alhamisi hi Machi 10,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Mashambulizi ya silaha yameshababisha vifo vya watu 15 huko Nangade. 🔸Mawakala wa UIR wamenpiga risasi mfanyabiashara huko Macomia 🔸OIM husaidia katika uundaji wa mabaraza ya usalama ya…
Karibu kwenye Saunt ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumane hi Machi 08,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kutofanya kazi kikosi hicho chá pamoja kunawaleta magaidi karibu na karibu na makao makuu ya Nangade. 🔸Serekali yaidhinisha ya kukandamiza na kupambana na ugaidi. 🔸Urejeshaji wa maeneo…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado Alhamisi machi 03,2022. Katika jarida ya leo. 🔸FAO inataka kuboresha lisha ya família zilizokimbia makazi huko Cabo Delgado. 🔸Tume ku ya Malawi ugaidi sio tu hatar kwa msumbiji. 🔸Mkuu wa wa SAMIM atoa wito kwa uwekezaji katika Cabo Delgado. 🔸Raia sabá wauawa katika mashambulizi…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Alhamisi fabruari 24,2022. Katika mada ya Leo. 🔸Waliorejea baada ya mashambulizi huko Mecula wanalalamika kuhusu nyenzo zisizotosha za ujenzi. 🔸Wanawake huripoti unyanyasaji wa kijensia katika wadhifa usimamizi wa Namialo. 🔸Maelfu ya watu wamezuiliwa Nangade kutokana na mashambulizi hayo. Endelea kupata habari za mkoa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Jumaene fabruari 22.2022. Katika mada ya Leo. 🔸Silaha zilizokamatwa njiani kuelekea Nampula. 🔸Magaidi 7 zaidi wauawa kiganjani. 🔸Watu waliokimbia makazi yao bado wanatafuta wanafamilia waliotekwa na magaidi. 🔸Mashambulizi mapya yamerecodia huko Nangade. Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Ijuma fabruari,18,2022. Katika mada ya Leo. 🔸Rwanda yangoza eneo la usalama. 🔸Wanagambo wa Nangade wanataka silaha na risasi. 🔸Watu waliohamishwa wakichagua kukaa ndani mji wa mecula. Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za kusikika.ong au…
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 15,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Jeshi la anga la Zambia latenga ndege kwa…
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 10,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Umoja wa ulaya kufadhili wanajeshi wa Rwanda na…
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya 08,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Waasi waua watu sita katika wilaya ya Macomia 🔸Renamo…
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya February 05,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mahada za habari. 🔸Magaidi waliwaua watu watatu katika kisiwa cha matemo…
5 Feb 2022 4AM
5 min
280 – 300
Agree to storing cookies on your device.
Cookie preferences
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.