Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili Jumanne hii Agosti 30,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸Wanajeshi watatu na raia wawili wameuawa huko wilaya ya Meluco. 🔸 Njaa inawatia wasiwasi wakimbizi walioko Nacala-Porto nkoa wa Nampula. 🔸Jamii za Muidumbe na Nangade zimeshambuliwa tena upya…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili Alhamissi hii Agosti 25. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu 900.000 wako katika hatar ya njaa kaskazini mwa Msumbiji kutokana na vita ya ugaidi. 🔸Serikali haijui sababu za mashambulizi huko Cabo Delgado na inataka jibu kutoka…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili. Jumanne hii Agosti 23. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Magaidi wavamia kambi ya UIR huko Nangade. 🔸 Zaidi ya wafanha kazi wa sirikali 1. 400 wamerejea katika maeneo yao ya asili. 🔸Jeshi la SADC kuendelea…
Karibuni nafassi ya shauti ya Cabo Delgado, ukurassa ukupha habari za kukamilika kuhusu provínciya eyi na viswa vikulu vya habari lelo alkhamiss, tareh 18.08.2022 ndivi: 🔸 Zaidi ya wakimbizi alfu 200 wuludi m'makaya mwawo - keleza raisi wa Moçambiqui. 🔸Hali ya mainsha yankukwela mu distritu ya Nangadi na mbaya zaidi…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo Ili. Jumanne hii 16, Agosti tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Maisha kurudiya upya huko Quissanga baada ya kurudi kwa wakimbizi. 🔸 Watu sita wamitekwa nyara katika uvamizi mwengine wa kigaidi wilaya ya Nangade. 🔸 Zaidi ya viwanda…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado, mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado, Alhamissi hii Agosti 11, 2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Mili mitatu ilipatikana bila uhai kwenye ukingo wa Mto Messalo. 🔸Gavana wa Nampula amewaomba wakimbizi wasirudi Cabo Delgado. 🔸 Hali ya Cabo Delgado inakuwa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Agosti 09,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Nkuu wa wilaya ya Balama anafafanua kuwa vijana waliokamatwa wiki iliopita sio magaidi. 🔸Kumerejea tena usindikizaji wa laiya kwenye barabara inayounganisha makao makuu ya Macomia…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Alkhamisi hii Agosti,04,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Polise imewashikilia vijana 30 wanaotuhumiwa kuwa magaidi huko Balama. 🔸Mashambulizi ya kigaidi yanaathir utekelezaji wa mazingira katika wilaya tano za Cabo Delgado. 🔸Chuo kiku cha kijeshi cha…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Agosti 02. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Mashirika ya kibinadamu yanakabiliwa na ugumu wa fedha za kukabiliana na hali ya wakimbizi Cabo Delgado. 🔸Mashambulizi ya gari imesababisha kifo na majeruhi huko Macomia…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusukiliza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Alhamisi hii Julai 28, 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Watu watatu wameuawa baada ya shambulio karibu na makao makuu ya wilaya ya Nangade. 🔸Badhi ya watu wengine waliokimbia vita waliomo Metuge awana ardhi…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Julai 26 2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸 Makumi ya magaidi walipigua risasi katika kambi ya khatupa huko Macomia. 🔸 Mtoto aliyekolewa aliyetekwa nyara na magaidi uko wilaya ya Meluco. 🔸 Mocimboa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Alhamisi hii julai,21,22. Tunayo mabu muhimu yafuatayo. 🔸Wachimba migodi watatu walikatwa vichwa katika wilaya ya Montepuez. 🔸Kikosi cha ndani kinaomba silaha na chakula ili kupambana na magaidi. 🔸Maisha yanaelekeya kurudi katika hali ya kawaida…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Julai,19,22. 🔸Magaidi waliwakata vichwa watu wawili huko Muaja karibu na Montepuez. 🔸Nafasi ya majeshi katika wilaya ya Macomia ilishambuliwa. 🔸Nyusi anakariri kuwa bado hakuna agizo kwa familia zilizohamishwa kurejea. Endelea kupata habari…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii julai 14,22. 🔸Kundi la magaidi lavamia tena Mocimboa da praia kutoka ufukweni tena. 🔸Zaidi ya walimo 100 walirijea katika wilaya ya Palma. 🔸INGD inahakikisha msaada kwa watu waliokimbia makazi yao ambao tayari…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo DelgadoJumanne hii julai 12,2022. 🔸Magaidi na Majeshi wausika na moto nkali uko Pundahari. 🔸Meluco iliyoathiriwa mashambulizi mapya mawili ya kigaidi. 🔸Zaidi ya miche 200.000 ya korosho inaweza kupoteya katika kitalu cha Nanduli. Endelea kupata habari…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Julai,07,07,22. 🔸Mashambulizi ya kigaidi yanaathiri wateja 30,000 wa EDM. 🔸Uchaguzi wa Mocimboa da praia bado aujulikani. 🔸PGR inasema kama ali ya watoto katika Cabo Delgado ni ngumu. Endelea kupata habari za Cabo…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Julai,05,2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Majeshe wa Msumbiji na wa Rwanda huko Mocimboa da Praia yawaua watu wawili. 🔸Macomia na Meluco wakilengwa na mashambulizi ya kigaidi mwiswoni mwa juma. 🔸Watu 6,000 wapya waliokimbia makazi…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi Hii Juni 30,2022. 🔸Timu ya kupambana na Alpha ya Africa kusini imetumwa Macomia. 🔸Mwanajeshe wa Tanzânia afariki Nangade. 🔸Kampeni ya kitaifa ya chanjo hukosa malengo kutokana na mzozo huko Cabo Delgado. Endelea kupata…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawwza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne Hii Juni 28,2022. 🔸Shambulio la kigaidi Huko Mocimboa lauwa watu watatu. 🔸Wimbi jipia lá watu waliokimbia makazi yao lafikia watu 25.000 🔸Viigaji wya mashambulizi vimikamatwa magaidi katika wilaya ya Ancuabe. Endelea kupata habari…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii juni 21,2022. 🔸Mkowa wa Nampula warekodi shambulio la kwanza la kigaidi . 🔸Syrah yaanzisha tena shuguli huko Balama. 🔸INGD bila data madhubuti ju ya familia zilizoacha nyumba zao kutokana na mashambulizi ya…
23 Jun 2022 8AM
5 min
240 – 260
Agree to storing cookies on your device.
Cookie preferences
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.