Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Novemba,2022. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Shambulio jipya la kigaidi wameuawa watu wawili katika wilaya ya Namuno. 🔸 Magaidi wanaua uko…
Habari gani,karibu kwenye toleo la ssuti ya Cabo Delgado tarehe 03,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushrikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Mwandishi wa habari na mwanaharakati Arlindo chissale kutoka pinnecle news amefungwa huko wilaya ya Balama. 🔸…
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 01,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Vikosi vya eneo la Nangade vimewaua magaidi 18 wakati wa shambulio katika kijiji cha liche…
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 27,oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habri inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimo kwa sasa. 🔸 Shambulio Jipya katika wilaya ya Macomia wameuawa watu Wanne. 🔸 Vikosi vya Rwanda vamegundua silaha…
Abari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 25,oktoba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Watu wawili wamikatwa vichwa katika wilaya ya Chiúre. 🔸 Mashambulize kwenye eneo la uchimbaji kulazimisha…
Abari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 20 oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸Magaidi wa wamewaua watu Watatu wilaya ya Ancuabe. 🔸Wananchi wanakosoa usimamizi wa mji wa Pemba…
Abari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 18.oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotayarishwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Magaide wamewaua watu wawili wilaya ya Nangade. 🔸 INGD imesema iko tayari kukabiliana na msimu…
Abari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.oktoba 2022 tunayo mambo muhimu. 🔸Mtu mmoja ameuawa katika shambulizi la kigaidi kijiji cha Ntoli wilaya ya Nangade. 🔸Uwongozi Wa SADC wamekabizi nyenzo zilizopatikana katika operasheni za kukabiliana na magaidi. 🔸Nusu ya walimu wamerejea katika wilaya zilizokumbwa na ugaidi. Endelea…
Abari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 11.oktoba.2022 tunayo mambu muhimu. 🔸Yameripotiwa mashambulizi Matatu mapya ya vita huko Cabo Delgado. 🔸Watu ambao walikuwa kwenye gari la Mahindra wementeka nyara kiongozi wa dini huko wilaya ya Chiúre. 🔸Magaidi wanadai tukio lá vita Omba wilaya ya Mueda. Endelea…
Abariyako,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 6.oktoba.2022.mambo muhimu . 🔸 Miaka mitano ya ugaidi huko Cabo Delgado ACNUR wanaomba viishe vita. 🔸 Serekali inaonekana kuwalazimisha watu waliokimbia kurejea makzi yao. 🔸 Mateka ishirini wa magaidi wamijisalimisha kwa mamlaka wilaya ya Mocimboa. Endelea kupata habari za Cabo Delgado…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hili.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii oktoba 04.2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Magaidi wameua tena katika wilaya za Macomia na Meluco. 🔸Serekali imesema Palma iko salama na…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi hii 29.09.2022 tunayo mambo yafuatayo. 🔸Msumbiji na Tanzânia wanajadili tena ugaidi huko Cabo Delgado. 🔸Wilaya ya Mueda na Nangade zilishambuliwa tena…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii septemba 27.2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu watano wameuawa katika shambulio la pili wilaya ya Metuge. 🔸Uwongozi wa SADC umethibitisha…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi hii Septemba 22.2022 ,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu watatu wamekatwa vichwa eneo la umbali wa kilometa 30 na makao Makuu ya wilaya…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hili. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii septemba 20.2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Wanajeshi 16 Wameuawa huko Macomia. 🔸Nsafara wa usindikizaji wa majeshi wa Msumbin na wa Rwanda…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi hii septemba 15.2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo . 🔸 Watu Watatu wameuawa na magaidi huko Muidumbe 🔸 Polisi imewafunga watu 29 kwa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgasdo mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii,septemba13,2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kuna wakimbizi zaidi 11.000 walioko Nampula. 🔸Kijana kapigwa lisasi na wanajeshi wilayani Nangade. 🔸Serekali inatarajia Kuanza tena…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili. Sauti ya Cabo Delgado inategenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi HII, Septemba 08,2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Muanake wa Itália ambeye alikuwa anatumikia kanisa la katolika ameuawa na magaidi huko…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu jimbo hii.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo_Ligado. Jumanne hii, Septemba 06.2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kundi la vijana wamechoma mota nyumba za wanainchi huko Ancuabe. 🔸Magaidi wamefanya tukio la vita kutua Wilaya…
Karibu kwenhe Sauti ya Cabo Delgado, mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo Ili. Alhamissi hii Septemba 01,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Shambulio jengine jipya la kigaidi limesababisha vifo vya watu sita katika wilaya ya Ancuabe. 🔸 Huduma za INSS zimefunguliwa katika wilaya ya Mocimboa da Praia. 🔸 Wafanyabiashara…
1 Sep 2022 10AM
4 min
220 – 240
Agree to storing cookies on your device.
Cookie preferences
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.