Sauti Ya Cabo Delgado 27.10. 2022
Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 27,oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habri inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Mambo muhimo kwa sasa.
🔸 Shambulio Jipya katika wilaya ya Macomia wameuawa watu Wanne.
🔸 Vikosi vya Rwanda vamegundua silaha zaidi wilaya ya Mocimboa da Praia.
🔸 PMA bado wanahitagi fedha kusaidia watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.
Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.
Pokeya habari za kila siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali apa:htts//iono.1237536.
Plural Media habari kwa lugha yako