Sauti Ya Cabo Delgado 11.10. 2022
Loading player...
Abari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 11.oktoba.2022 tunayo mambu muhimu.
🔸Yameripotiwa mashambulizi Matatu mapya ya vita huko Cabo Delgado.
🔸Watu ambao walikuwa kwenye gari la Mahindra wementeka nyara kiongozi wa dini huko wilaya ya Chiúre.
🔸Magaidi wanadai tukio lá vita Omba wilaya ya Mueda.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya www.avoz.org au kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pata habari kwenye wahatssAp kwa kutuma ujumbe +258843285766. Basi chagua lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.