Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 30. 05. 2025

Loading player...
Hábari, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.

🔸 Jeshi la wanamaji linashutumiwa Kwa uzembe Katika tukio la pwani ya Mocimboa da Praia.

🔸 Idade kubwa ya wakazi Palma wamerejeya Katika Wilaya hiyo tangu shambulio la 2021.

🔸 Mashambulizi yanayosababishwa na matukio ya hali ya hewa yanawaondoa zaidi ya watu 25.000 kaskazini mwa Mozambique.

Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani, tembelea ukurasa wetu wa Avoz.ogr Au chaneli zetu za Whatsapp au telegram.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata hábari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast.
30 May 4AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Watu wameuawa katika shambulio lá waasi kwenye Bárabara 380 Huko Cabo Delgado 🔸 Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgado…
15 Aug 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. 🔸 Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure 🔸 Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafiti…
8 Aug 11AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 01. 08. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe, 01.08.2025.Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Wakazi wameridhiswa kwa kurejeshwa kwa usindikizaji wa kijeshi sehemu ya Macomia Oasse. 🔸 Islamic state wameshambulia chiure 🔸 Namparama kuingia katika hatua ya…
1 Aug 4AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 07. 2025

Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 25.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Mashababi waripeleka Mocimboa 🔸 Mashabai watenda tokeyo la vita mu distritu ya Ancuabe 🔸 Sirikali ya Cabo Delgado itangaza kuludiliwa kwa…
25 Jul 3PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 07. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado, 21.07.2025. Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wanazidisha vizuizi barabarani na kuanza kuelekea kusini 🔸 Loli lililobebe chanjo ya Polia wilaya ya Mocimboa da Praia limeshambuliwa 🔸 Serikali ya…
20 Jul 5PM 8 min