Sauti Ya Cabo Delgado 21.02.2023
Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 20,Februari,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸Shirika la kimataifa la uhamiaji linateteia kujumuishwa Kwa watu waliokimbia makazi yao katika ujenzi mpya.
🔸Ripoti ya umoja wa Mataifa linasema tishio la ugaidi liko Cabo Delgado.
🔸Magaidi wanne wamekamatwa Mocimboa da Praia .
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram,na program yoyote ya podcast ,au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz. org
Unaweza pia kupata habari izo kupitia whatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Media habar kwa lugha yako.