Sauti Ya Cabo Delgado 25.10.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 25,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Kampuni ya Mafuta ya Exxon inaweza kuachana na mradi wake wa gesi ya bonde Rovuma.
🔸Vikosi vya ulinzi vinasema wafanyabishara wawili kwenye viungo vynavishukiwa vya ugaidi.
🔸Watu waliohamisha kutoka Metuge na Montepuez bila msahada wa chakula kwa muda wa miezi mitatu.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.