Sauti Ya Cabo Delgado 15.10.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 15.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Paul Kagame anafunua kwamba kikosi cha Rwanda kina wanaume 2000 huko Cabo Delgado.
🔸Jeshi la Msumbiji linadai kufutilia mbali vituo kuu vya kigaidi uko Cabo Delgado.
🔸CDD anatetea mazungumzo na wanaogiunga na safu ya ugaidi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.