Sauti Ya Cabo Delgado 12.10,2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 12,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Zaidi ya watu 30.000 waliohamisha walirudi katika mji wa Palma.
🔸Caritas Deyosisi ya Nampula inahamasisha msaada zaidi kwa watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.
🔸Raisi wa kamati ya kimataifa ya Cruz vermelha atembelea Cabo Delgado wiki hii
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.