Sauti Ya Cabo Delgado 11.10,2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 11,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸ADIN anatia saini hati ya kupunguza mateso ya watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.
🔸Kuteka nyara watoto kuwa wanajeshi wa Magaidi kunatia wasiwasi Jami ya kimataifa.
🔸OTM huko Cabo Delgado inalaumu matokeo ya mashambulio ya maisha ya wafanyikazi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural M