Sauti Ya Cabo Delgado 17.09.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya seteptmber 17,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wavuvi uko Macomia waripoti operesheni Kali za vikosi vya pamoja vya kijeshi.
🔸Program ya uuzazi wa kilimo ulizinduliwa uko Cabo Delgado.
🔸Tishio la kigaidi ni kubwa kwa nchi mzima,anaonya waziri Miquidade.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.