Sauti Ya Cabo Delgado 17.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 17.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Watu 27 waliokolewa huko Mocimboa da Praia kutoka wakati wa shuguli.
🔸Norway yatoa dola milioni tatu kwa watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.
🔸Idade ya watoto wasioambatana katika vituo vya makazi katika wilaya ya montepuez inakua.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.