Sauti Ya Cabo Delgado 30.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 30.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Selekali ya Ujerumani inatoa euro milioni 26 kwa Cabo Delgado.
🔸Angola yajiunga na ujumbe wa SADC na wanajeshi 20.
🔸Shariti la msingi la uwekezaji ni amani anasema Nyusi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25884285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa shimakonde,kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako